I haven’t done a song text for a long while, so here is one by Rose Mhando. May it encourage those that are busy trying to make something out of themselves and rebuke those that just sit and condemn others. Think carefully how you spend your days on earth, you’re never too sure if there’s a next life (of course not unless you are a cat).
Woga Wako
Woga wako ndio umasikini wako mwanangu wee
Your fear is your poverty, my child
Hofu yako ndio kifo chako wee mama
Your cowardice is your death, woman
Mashaka nayo ndio thambi yako wee mama wee
And doubt is your sin you woman you
Kila kitu unasema huwezi, huwezi, huwezi
All you say you can’t, you can’t, you can’t
Kwani wengine wameweza vipi ee
How do you think others have been able to do it?
Malengo yako utafanikisha vipi ee
How will you accomplish your goals?
Ndoto zako utakamilisha vipi?
How will you realize your dreams?
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Epuka vikao vya wapumbavu wee
Avoid meetings of fools
Epuka vikao vya wapumbavu wee mwanangu wee
Avoid meetings of fools, my child
Acha kujifunza kwa walioshindwa ee mama
Stop learning from the defeated, woman
Walioshindwa wana maneno mengi ee mama
The defeated have a lot to say, woman
Mchana kutwa utawaona vijijini
The whole day you’ll see them in villages
Wakijadili maisha ya wengine
Discussing the lives of others
Wakiongelea mipango ya wengine
Discussing other people’s plans
Wakikosoa juhudi za wengine
Correcting the undertakings of others
Fulani ana gari amehongwa na fulani
Whoever has a car, they were brided by whoever
Eti ana nyumba nzuri ameibia kampuni ee mama
Such a lovely home, they must have stolen from their company, woman
Lakini ya kwao yamewashinda ee
But the ongoings in their own lives have defeated them
Mchana kutwa wanashindana na jua ee mama
The whole day they’re competing with the sun, woman
Jua likisogea nao wanasogea
When the sun moves, they also move
Kivuli kikisogea nao wanasogea
When the shade moves, they also move
Hawajui kupambanua nyakati eee
They don’t know how to differentiate the times/seasons
Mchana na usiku kwao ni sawa sawa ee
Day and night to them are the same
Eti bora niende ee
As long as I go
Pole pole (Pole hee)
Sorry, sorry
Pole Mama (Pole hee)
Sorry Mother/Woman
Pole Mwenzangu (Pole hee)
Sorry my friend
Pole Kijana (Pole)
Sorry young one/ youth
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Kwa Ujinga wako (Wewe hee)
By your foolishness
Wewe Mwenzangu (Wewe hee)
You my friend
Angalia ee (Wewe hee)
Look
Wewe Mwenzangu (Wewe)
You my friend
Umejimaliza mwenyewe
You’ve finished yourself
Nasema umejimaliza mwenyewe
I’m saying you’ve finished yourself
Kwa Ujinga wako ee (Pole hee)
By your foolishness
Mama (Pole hee)
Mother
Pole Kijana (Pole hee)
Sorry young one
Jamani (Pole)
Sincerely (Sorry)
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Nasema umejiroga mwenyewe
I’m saying you’ve bewitched yourself
Kwa midomo yako (Wewe hee)
With your mouth
Wewe Mama (Wewe hee)
You woman
Jamani (Wewe hee)
Sincerely
Umejimaliza mwenyewe
You’ve finished yourself
Shauri yako,
Your problem
Fedhea kwako,
Your impudence
ujinga wako,
your stupidity
Upumbavu wako
Your foolishness
Fedhuli yako
Your insolence
Ujinga wako
Your stupidity
Hasira yako
Your temper
Hasara kwako
Your loss
Mpumbavu huamini kila neno
A fool believes all he is told
Bali mwenye akili hufikiri sana jinsi aelezwavyo
But the one with a brain contemplates further on what he is told
Ujinga wako,
your stupidity
Upumbavu wako
Your foolishness
Shauri yako
Your problem
Fedhea kwako
Your impudence
Aibu yako
Your shame
Hasara yako
Your Loss
Uvivu wako
Your laziness
Umasikini wako
Your poverty
Mpumbavu huamini kila neno
A fool believes all he is told
Bali mwenye akili hufikiri sana jinsi aelezwavyo
But the one with a brain contemplates further on what he is told
Pole hee
Sorry,
Pole Mama (Pole hee)
Sorry Mother/Woman
Pole Mama (Pole)
Sorry mother
Pole Mwenzangu (Pole hee)
Sorry my friend
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Kwa Ujinga wako (Wewe hee)
By your foolishnessPole hee
Wewe Mwenzangu (Wewe hee)
You my friend, you’ve finished yourself
Angalia ee (Wewe hee)
Look
Wewe Mwenzangu (Wewe)
You my friend
Umejimaliza mwenyewe
You’ve finished yourself
Pole hee
Pole hee
Pole hee
Pole
Sorry
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe
The witch in your life is you
Adui wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe
The enemy to your succes is you
Utagombana na watu bure
You’ll argue with people for nothing
Utawachukia wengine bure
You’ll hate others for nothing
Utakasirishana na wengine bure
You’ll anger others for nothing
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe
The witch in your life is you
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe
The witch in your life is you
Adui wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe
The enemy to your succes is you
Utagombana na watu bure
You’ll argue with people for nothing
Utawachukia wengine bure
You’ll hate others for nothing
Utakasirishana na wengine bure
You’ll anger others for nothing
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe
The witch in your life is you
Shauri yako,
Your problem
Fedhea kwako,
Your Impudence
Upumbavu wako
Your foolishness
Hasara kwako
Loss to you
Kiburi chako
Your pride
Fedhea kwako
Uvivu wako
Your laziness
Umasikini wako
Your poverty
Mpumbavu huamini kila neno
A fool believes all he is told
Bali mwenye akili huchunguza sana jinsi aelezwavyo
But a wise man contemplates what he is told
Pole hee
Pole Mama (Pole hee)
Sorry
Mwenzangu (Pole hee)
My friend
Pole sana(Pole)
Very sorry
Umejiroga mwenyewe Mama
You’ve bewitched yourself
Unanuna bure
You’re angry for nothing
Wewe hee
You
Wewe hee
You
Mwenzangu Wewe hee
My friend, you
Wewe
You
Umejimaliza mwenyewe kwa midomo yako
You’ve finished yourself with your mouth
Pole hee
Pole hee
Pole hee
Pole
Sorry
Umejiroga mwenyewe
You’ve bewitched yourself
Jamani umejiroga mwenyewe kwa ujinga wako
Sincerely, you’ve bewitched yourself with your stupidity
Wewe hee
Wewe hee
Wewe hee
Wewe
You
Umejimaliza mwenyewe
You’ve finished yourself
Maneno ya Mungu yanasema hivi ee
God’s word says this
Maneno ya Mungu yanasema hivi ee Mwenzangu
God’s word says this my friend
Asiyefanya kazi na asile
Whoever doesn’t work, shouldn’t eat
Asiyefanye kazi huyo ni mwizi
Whoever doesn’t work is a thief
Hafai katika jamii yoyote
He’s not needed in any family
Wala hafai kwenye nyumba ya Mungu
He’s not needed in God’s house
Mchonganishi na mwenye fitina ee
An insiter and trouble maker
Hupita nyumba hadi nyumba
Moves from house to house
Hukorofisha ndungu kwa ndungu
Turns brother against brother
Hugombanisha jamaa kwa jamaa
Makes people fall out
Asiyefanya kazi ni mtu hatari
Whoever doesn’t work is a dangerous person
Nenda kajifunze kwa wale waliofanikiwa ee Mama
Go teach yourself from those that have succeeded, woman
Jifunze kwa waliofanikiwa ee Kijana
Teach yourself from those that have succeeded, young one
Ebu waulize walifanya vipi ee
Ask them how they did it
Baada ya maajibu chukua hatua
After you get the answers, take a step
Fanya kazi kwa mikono yako ee
Do the work
Utabarikiwa
You’ll be blessed
Mungu yupo eee
God is there
Utafanikiwa
You’ll succeed
Pole hee
Pole Mama (Pole hee)
Pole pole (Pole hee)
Sorry
Mwenzangu (Pole)
My Friend
Umejiroga mwenyewe kwa upuzi
You’ve bewitched yourself with your nonesense
Nasema
I’m saying
Wewe hee
You
Kwanini unakataa tamaa Wewe hee
Why are you giving up? You
Mwenzangu Wewe hee
My friend, you
Wewe
You
Umejimaliza mwenyewe kwa kukata tamaa
You’ve finished yourself by giving up
Pole (Pole hee)
Pole Mama (Pole hee)
Mwenzangu (Pole hee)
Pole sana(Pole)
Umejiroga mwenyewe
Nasema
Wewe hee
Wewe hee
Wewe hee
Wewe
Umejimaliza mwenyewe
You’ve finished yourself